Ni mwaka mmoja tangu mwanamuziki wa kike maarufu duniani marehemu
Whitney Houston afariki dunia.Tarehe kama ya leo Whitney Houston ambaye
aliacha mtoto mmoja Bob Kristina aliyezaa na Bob Brown alikutwa amekufa
katika Hotel ya Beverly Hilton kwa kile ambacho kinamaanika ni matumizi
ya madawa ya kulevya.Whitney Houston alifariki akiwa na miaka 48.
No comments:
Post a Comment