facebook likes

Saturday, February 16, 2013

MTANZANIA APATA SHAVU LA KUIANDAA TIMU YA MAREKANI ITAKAYO SHIRIKI MASHINDANO YA DUNIA


Professional Choreographer kutoka Tanzania House of Talent (THT), Msami Jiovani, weekend hii atafly kuelekea Marekani katika miji ya Washington DC, LA,Ohio na NY kwa ajili ya kutoa mafunzo ya dance, kwa team ambayo itashiriki mashindani ya World Jump Rope 2013, lakini licha ya kutoa somo hilo Msami pia atajifunza vitu vingine vipyakatika tasnia ya dance...
zaidi huyu hapa:
   Inaaminika kuwa style ya kiduku, imeasisiwa nchini Tanzaniana THT, na watanzania tunajivunia kwa hilo, swali ni je Msami atakiwakilisha kiduku akifika huko ama?

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...