facebook likes

Saturday, February 16, 2013

BREAKING NEWS: POLISI WAPAMBANA NA WAUMINI WA KIISLAM WALIOANDAMANA HII LEO


Polisi jijini Dar Es Salaam imepambana na baadhi ya watu wanaodaiwa ni waumini wa dini ya Kiislam walioamua kuandamana katika maeneo ya Kariakoo.

Licha ya kupigwa marufuku kwa maandamano hayo na jeshi la Polisi wamedai kuwa lengo la maandamano hayo ni kushinikiza kupewa dhamana kwa Sheikh Issa Ponda.
Zaidi tembelea mtandao huu

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...