facebook likes

Wednesday, February 20, 2013

KANISA LACHOMWA MOTO ZANZIBAR USIKU WA KUAMKIA LEO



 Picha na maktaba



Watu wasiojulikana wasiojulikana usiku wa kuamkia leo wamevamia kanisa moja huko visiwani Zanzibar na kuanza kurusha mawe kwenye kanisa hilo, hali iliyopelekea mlinzi wa kanisa hhilo kutimua mbio kunusuru maisha yake



Baada ya mlinzi huyo kukimbia watu hao walivamia kanisa hilo na kuanza kuchoma moto viti vya plastiki vya kanisa hilo zaidi ya 30



hadi polisi wanafika eneo la tukio baada ya kupewa taarifa na mlinzi huyo, viti hivyo vilikuwa vinateketea kwa mtoto na hawakufanikiwa kuviokoa

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...