facebook likes

Wednesday, February 27, 2013

HUYU NDIO MWIGIZAJI KUTOKA AFRIKA ALIEHUDHURIA TUZO ZA OSCAR 2013.


Rachel Mwanza.
Rachel Mwanza ni mwigizaji raia wa Kongo ambae aliwahi kushirikishwa kwenye War Witch ambayo ilikua nominated kwenye tuzo za Oscar, hii ilikua mara yake ya kwanza kuhudhuria tuzo hizo na alionyesha kujiamini vizuri.

.

Hapa yuko na director wa movie Kim Nguyen.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...