Hukumu iliyokuwa ikisubiliwa na baadhi ya wadau wa tasnia ya sanaa hususani upande wa filamu ya msanii wa bongo movi Kajala Masanja imehairishwa mpaka tarehe 25 mwezi wa tatu
Chanzo cha habari ambacho ni mmoja wa rafiki wake wa karibu na msanii huyo alieleza kuwa kutokana na kutokuwepo kwa baadhi ya
wahusika katika kesi hiyo imemladhimu hakimu kuihairisha kesi hiyo mpaka tarehe iliyopangwa hapo juu
No comments:
Post a Comment