facebook likes

Friday, October 4, 2013

Pumu yamtesa Jokate Mwegelo, aomba watanzania wamuombee

“Naumwa jamani, pumu inanisumbua inanitesa sana. Inaponitokea huwa nashindwa kufanya kabisa kazi zangu za kila siku na vitu vyote huwa vinalala hadi nitakapopata nafuu,” alisema Jokate kwa tabu.
SOM zaidi....

Hayo ni maneno ya Jokate mwegelo alipokuwa akizungumza na mwandishi wa mtandao wa GPL hivi karibuni.
Mwanadada huyu ameataka fans na watu wote wenye mapenzi mema wamuombee kwani pumu hiyo kwa sasa imemshika sana
Pole sana Jokate

SOURCE:GPL

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...