facebook likes

Friday, October 4, 2013

PICHA MBALIMBALI ZA VURUGU ZILIZOTOKEA MBAGALA BAADA YA KUGONGWA KWA MWANAFUNZI NA KUFA

 
Askari kanzu katika jitihada za kuwatawanya waandamanaji.

SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI......



 
Kamanda Engelbert Kiondo (wa pili kulia) akipokea maelekezo kutoka kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Kizuiani, Mashaka Selemani (wa kwanza kushoto).

 
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi Temeke, Engelbert Kiondo (wa tatu kulia) akiwa katika eneo la tukio.



 
Mojawapo ya matairi yaliyochomwa na wananchi.


Waananchi wakiandamana wakati wa vurugu hizo. 
 
Wananchi wakiwa eneo alipogongwa mwanafunzi.


 

wakazi wakiwa na mabango kuashiria kutaka matuta baada ya kutokea kwa ajali iliyosababishwa kifo cha mwanafunzi wa shule kufariki  
polisi wa usalamam akiwatuliza wananchi walioshikwa na hasira mbagala


baadhi ya wakazi awakiwa wameweka mawe kuzuiia magari yasipite baada ya mwanafunzi kugongwa na kufariki  mbagala

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...