facebook likes

Friday, October 4, 2013

MR BLUE AAMUA KUFUNGUKA "INANIUMA SANA NAPOSIKIA WATU WANASEMA NIMEPOTEA KATIKA GAME"


Hatimae yule Nguli wa Music wa Bongo Flava Mr Blue Amefunguka na Kuongelea kupotea kwake kwenye Game , Mr blue Amesema kwa sasa game limechange inabidi kusoma kwanza mchezo ndio kuingia uwanjani ....ila ana umia sana anaposikia watu wakisema kuwa  hana mpya katika game hilo la music wa
kibongo ......Kwa muda sasa Dogo huyu hajatoa wimbo mzuri ambao umewagusa watu na wengine wakileta umbea kwamba ameanza kutumia unga....Anyways ..Dogo we are waiting for u ukishamaliza kusoma mchezo drop us a HIT....

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...