facebook likes

Monday, September 30, 2013

Mama Mzazi Wa Drake Afunguka Baada Ya Kukerwa Na Mistari Ya Drake Kuhusu Yeye, Fuatilia Hapa

Rapper Drake ambaye kwa sasa yupo busy akifanya interview kuhusu album yake mpya ya "Nothing Was The Same" amefunguka kuwa Mama yake mzazi amekasirishwa sana na mistari yake kwenye wimbo wake wa "Too Much" baada ya Drake kumchana kuwa anapenda kujiambia anaumwa na kukaa nyumbani bila kufanya kazi yoyote.
SOMA ZAIDI...
Kwenye mistari hio Drake anasema 
“Hate the fact my mom cooped up in her apartment, tellin' herself/ That she's too sick to get dressed up and go do sh*t, like that's true sh*t”




Drake amesema ameongea na Mama yake mara nyingi kuhusu tabia hiyo ndio maana ameona aweke malalamiko yake kwenye wimbo huo na alijua Bi Mkubwa atasikiliza album yote kabla haijatoka.






Anyway i hope Drizzy na Mama yake wameyamaliza mambo yao, Swali ni je unadhani ni vizuri kumchana Mama Mzazi kwenye Ngoma?

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...