facebook likes

Monday, September 30, 2013

Jordin Sparks Ndio Video Model Kwenye Video Mpya Ya Mpenzi Wake Jason Derulo, Inaitwa Marry Me. Ipo Hapa

Mara nyingi tunaongelea mapenzi ya  Jay z Na Beyonce, Chris Brown Na Rihanna, Kwa sasa wanao teka headlines duniani kama wapenzi ndio hawa wawili. B & J.
SOMA NA ANGALIA VIDEO HAPA.....


Mapenzi ya stars Jason Derulo Na Jordin Sparks yanazidi kukolea baada ya Jason kumweka Jordin kama Video Model wake kwenye video yake mpya ya "Marry Me", So hii ni dalili kuwa wana mpango wa kuowana hawa wawili?, Well mpaka sasa inasemekana Derulo na Sparks wana mapenzi mazito sana na hakuna dalili za kuachana kwa hawa wawili.


No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...