facebook likes

Friday, September 6, 2013

HUYU NDIYE DAKTARI FEKI WA UPASUAJI ALIYE KAMATWA KCMC...MATUKIO KATIKA PICHA YA KUKAMATWA KWAKE

Afisa uhusiano wa hosptali ya Rufaa ya KCMC,Gabriel Chisseo akimwonesha anayedaiwa kujifanya daktari katika hosptali hiyo (Daktari Feki) aliyetambulika kwa jina la Alex Massawe.
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI.............

Daktari Feki Masawe akisindikizwa na baadhi ya wafanyakazi wa hosptali ya KCMC kutoka katika moja ya wodi ambayo alikuwa 'akihudumia'.


Daktari feki akiwa katika gari la polisi tayari kupelekwa kituo cha polisi ili hatua za kisheria zichukuliwe
 



Aliyejidai kuwa ni Daktari katika hosptali ya KCMC(Daktari Feki) aliyetambulika kwa jina la Alex Massawe akiwa amefungwa pingu mikononi mwake katika eneo la hosptali hiyo.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...