facebook likes

Friday, September 6, 2013

Waandishi wafatiliaji, sasa hivi wanamuandama mama Lebron James mapenzini na rapper huyu wa miaka 31

mama lebron 4
Stori zimetembea kwamba mama mzazi wa staa wa mpira wa kikapu Lebron James aitwae Gloria yuko mapenzini na rapper wa Miami anaitwa Lambo ambapo kinachofanya waongelewe sana ni tofauti ya umri wao, yani mama ana miaka 44 na Lambo ana miaka 31.
SOMA ZAIDI..............

Pamoja na watu kumsema Lambo kutokana na kuwa mapenzini na Mwanamke mwenye umri mkubwa, yeye hajali na ndio kwanza anazidi kuonyesha jinsi alivyodata zaidi kwa kupost picha zake na mama huyu kupitia instagram.
Wanakwambia ‘There’s even a pic of the dude wearing LeBron’s massive championship ring’ so jamaa anaonekana yuko serious na ukaribu na familia ya Lebron James ambae ana umri wa miaka 28.
Mama Lebron James 1
mama lebron 3
Mama Lebron 2

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...