facebook likes

Friday, September 6, 2013

TUKIO LINGINE LA TINDIKALI:Picha ya Mwanamke aliyemwagiwa Tindikali Usoni na Kuharibiwa Kabisa Kisa Ni Wivu wa Mapenzi

Blessing baada ya kuharibiwa sura
Cyrill Okusan kijana wa miaka 22 ametajwa kama muhusika wa unyama huu,Tayari ameshafunguliwa mashtaka kwa kosa hili.
SOMA ZAIDI.........
Nadhani ni wivu tu wa kimapenzi na roho mbaya ndiyo iliyosababissha yote haya,jamaa akaona wacha nimuharibu reception tuone baada ya mimi kama kuna mtu atakubinyia hata kijicho..mbaya sana! Kina dada kuweni makini na ma-boyfriend wa kukutana nao mitaani bila hata kujua background na tabia ya mtu.


source:folclassic

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...