facebook likes

Wednesday, September 4, 2013

HAWA NDIYO WASANII WA KIKE NA WAKIUME WENYE MUONEKANO MZURI POPOTE UWAONAPO


Hemed PHD ambae longtime amewahi kusema yeye ni bishoo sana na anazingatia sana muonekano wake kila sehemu anayotokea pamoja na mwigizaji Jackline Wolper ndio wamechaguliwa kuwa wasanii wenye best star look kwenye bongo movie kupitia show ya Take One ya Clouds TV.
SOMA ZAIDI..........Yakiwa ni maoni ya Watazamaji, Mtangazaji Zamaradi Mketema anakwambia kapokea kura nyingi kutokana na shindano aliloanzisha wiki iliyopita ambapo wengi wamepiga kura kwa Hemed kwa waigizaji wa kiume na Wolper kwa upande wa Wanawake

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...