facebook likes

Wednesday, September 4, 2013

Muziki unavyowatajirisha Nigeria, hili ni gari jingine kaagiza Davido

Davido 2Pamoja na kwamba wengine wanasema utajiri wa baba yake umechangia huyu staa wa muziki wa Nigeria kuwa na magari na nyumba ya kifahari, imefahamika kwamba hata muziki wake pia umeripotiwa kumpa mkwanja mrefu ambao kwa asilimia kubwa unatokana na mauzo ya nyimbo kwenye makampuni ya simu pamoja na shows.
SOMA ZAIDI............

Davido ameshea na fans wake picha ya gari lake jipya aliloagiza ambalo ni Mercedes-Benz G63 AMG na kuandika ‘My baby fresh out the paint shop! Next Stop the port! See u in Lagos baby!!! #G63AMG 2013!!!”
Muziki wa Nigeria ambao ndio unatajwa kuongoza kuchezwa kwenye vituo vya radio na TV kwenye nchi mbalimbali barani Afrika kwa sasa, umewanyanyua wengi wenye vipaji na sasa ni miongoni mwa matajiri wa nchi hiyo akiwemo Tiwa Savage, Wizkid, D’banj, P Square na wengine wengi ambao malipo yao ni kwa USD.
DavidoHili gari jeupe hapa juu ni moja ya magari anayomiliki Davido, na hili hapa chini ndio hilo jipya aliloagiza… hii inatoa mwanga kwa kijana yeyote kwamba ukikitumia kipaji na bidii kwenye kila unachofanya, inalipa! Davido ameitumia fursa

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...