facebook likes

Wednesday, September 4, 2013

HATIMAYE iPHONE 5S KUZINDULIWA RASM WIKI IJAYO


Kampuni ya Apple ambayo ndiyo watengenezaji wa simu za iPhone wametangaza tarehe 10 mwezi huu kuwa ndiyo siku ambayo wataitambulisha simu mpya ya iPhone 5s rasmi.
SOMA ZAIDI........ Simu hii mpya ambayo pia itakuja na cover yenye rangi ya gold ikiongezeka kutoka kwenye rangi nyeusi na nyeupe ambazo zilikuwa ndiyo rangi pekee. Mitandao tofauti ya mambo ya digital imesema kwamba simu hii mpya kunauwezekano mkubwa wa kuja na uwezo wa kutambua fingerprint ya mtumiaji ambayo itatumika kama lock ya simu. Kitu kingine inasemekana siku hiyo pia itazinduliwa rasmi link ya watumiaji wa simu za iPhone ku-update operation system ya simu zao kuwa iOS7.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...