facebook likes

Saturday, February 23, 2013

DAYNA ACHUKIA KIFUA CHAKE





































Msanii anayefanya vizuri katika gem ya Bongo Fleva Dayna amesema anachukia sana “chale” alizochanjwa alipokuwa mdogo zilizopo kifuani kwake na kutamani kuzitoa kwa gharama yoyote.
Dayna amefunguka kuwa wakati akiwa mdogo alikuwa anatatizo la kuumwa kifua hivyo walezi wake katika kutafuta tiba akajikuta anachanjwa chale hizo ambazo amekuwa akizichukia sana.
Dayna anayatamba na ngoma yake mpya akimshirikisha Mr. Blue inaitwa Leo amesema anamshukuru Mungu kwani kila umri wake unavyozidi kukua na chale hizo zinapotea.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...