facebook likes

Monday, October 7, 2013

PICHA::MASANJA NA OMMY DIMPOZ WALIPOKUTANA LOS ANGELS MAREKANI



Masanja akiwa na Ommy walivyo kutana California hapa wakipata ukodak mbele ya uwanja wa Lakers Staples Center. 
ANGALIA PICHA ZAIDI.....Kila mtu ameenda kwa mishe mishe zake na walivyo kutana wapoz na kupata ukodak wa kumbu kumbu.

Masanja na Dimpoz wakiwa china ya ulinzi wa police wa LADP



Ommy Dimpoz mzee wa tupogo akipata ukodak na washabiki wake kulia ni Diva wa California Miss Dianarose na kushoto ni mama mzazi wa Dianarose.


ALIPO KUTANA NA RAPPER THE GAME

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...