facebook likes

Monday, October 7, 2013

HAWA NDIYO WASHIRIKI WA NNE WATAKAO IWAKILISHA TANZANIA KATIKA TUSKER PROJECT FAME..!!!

tusker-6-23Tusker project fame mashindano yaliyomtaburisha msanii Hemed kwenye anga la muziki, hivi sasa yamefikia hatua ya washiriki kukaa kwenye academy. 
SOMA ZAIDI....Matumaini ya watanzania kufanya vizuri kwenye mashindano haya yapo mikononi mwa watu wanne. Watu wenyewe ni   Angel, 23 yrs, Hisia, 21 yrs Tanah, 21 yrs na Dubson, 25yrs. Fuatilia Tusker Proect fame na uwape support washiriki hawa Washiriki hawa ni baadhi ya washiriki wengine 25 kutoka nchi mbalimbali za Africa Mashariki 

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...