facebook likes

Saturday, July 20, 2013

Walichoandika Big Brother Africa “The Chase” kuhusu DJ PQ.


DJPQ_BB_74d1aab9-1a24-4e1d-bbad-f477f8add475_151319161547890
Dj kutoka Clouds Media Group ndiyo atakuwa Dj wa kwanza kuwarusha washiriki wa Big Brother waliochanganyika kutoka Ruby na Diamond. Mtandao official wa Big brother the Chase ambayo unaiona pekee kupitia Dstv, wameendelea kuandika kwamba Dj PQ jina lake linatokana na jina lake la kwanza Peter na Q ni quick kutokana na kasi yake anapokuwa kazini.
Usikose kuona jinsi Dj PQ anavyoingia kwenye list ya madj waliowarusha washiriki wa Big brother tangu ianze season ya mwaka huu. Dj PQ ambaye alianza kupata fans wengi mwaka 1998 baada ya kushinda Dj competition na kupewa crown ya Smart Boy Dj, leo usiku mida ya saa tano kwa saa za Tanzania atakuwa anawarusha washiriki wa Big brother.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...