facebook likes

Saturday, July 20, 2013

BREAKING Newzzzz....MSANII WA MAIGIZO MR.BOMBA ALIYE TAMBA SANA NA MAIGIZO MBALIMBALI ITV AFARIKI DUNIA


Leo katika pita pita zangu kwenye ukurasa wa FB wa msanii wa bongo muvie Batuli, nimekutana na habari hii ya majonzi ya kuondokewa na msanii mahiri wa maigizo na bongo muvi hapa nchini, Batuli ameandika maneno haya hapa chini
R.I.P baba yetu Mr Bomba Mwenyezi Mungu aiweke roho yako mahala pema peponi "Amin"

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...