facebook likes

Wednesday, July 31, 2013

Picha ya siku,Kama huyu anaweza kutunza mazingira hakuna sababu ya wewe kushindwa.

Huyu ni kunguru ambaye alifumwa akiokota kopo la soda likiwa limezagaa na akaamua uliokota na kuliweka mahali sahihi kwenye ndoo maalum ya taka taka yaani ‘Dust Bin’. Wakati mwingine si vibaya kufuata mfano wa viumbe hai tofauti na wanadamu.image

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...