facebook likes

Monday, February 11, 2013

HII NI ILE BOOKERS PARTY ILIYOFANIKISHWA NA KINYWAJI CHA BAILEYS


Anaitwa Furaha Masalu ni Afisa Masoko pale Multichoice akienjoy na kinywaji cha Baileys kushoto na mkono wa kulia kaishikilia keki iliyotengenezwa kwa hicho kinywaji kutoka SBL, Party ilifanyika Sea Cliff Dar es salaam.

Ilikua ni goodtimes kwa kila aliehudhuria manake pamoja na kupewa kinywaji cha Baileys pia kila mmoja alipewa keki iliyotengenezwa kwa hicho kinywaji kutoka kampuni ya bia SBL.

Nakumbuka hapa ilikua ni Mabalozi wa kinywaji cha Baileys kutoka kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) wakitoa info kwa baadhi ya wanafamilia waliohudhuria party.

Hapa ni meneja mauzo na masoko wa Sea Cliff JEAN FRANCOIS VARET akitoa zawadi ya Baileys kwa mfanyakazi wa DSTV Gabriel Ernest ndani ya Bookers Party mwishoni mwa wiki iliyopita.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...