BAYERN Munich imetwaa Super Cup ya Ulaya baada ya kuifuna Chelsea kwa penalti 5-4 kufuatia sare ya 2-2 na Jose Mourinho ameshindwa kutwaa taji la kwanza baada ya kurejea darajani mbele ya Pep Guardiola.

Katika mchezo huo, ambao Chelsea ilimaliza pungufu baada ya Ramires kutolewa nje kwa nyekundu dakika ya 84, mabao ya The Blues yalifungwa na Torres dakika ya nane na Hazard dakika ya 93, wakati ya Bayern yalifungwa na Ribery dakika ya 47 na Javi Martinez dakika ya 120.
Katika mikwaju ya penalti, Ashley Cole alifunga Cech akaokoa penalti Xherdan Shaqiri.
Penalti nyingine zilizofungwa na David Luiz, Oscar na Frank Lampard kwa upande wa Chelsea, wakati za Bayern zilifungwa na Jerome Boateng, Toni Kroos, Philipp Lahm na Franck Ribery hivyo kuteneneza ushindi wa 5-4.
Kikosi cha Bayern Munich kilikuwa: Neuer, Rafinha/Javi Martinez dk56, Dante, Boateng, Alaba, Muller/Gotze dk70, Lahm, Kroos, Ribery, Mandzukic na Robben/Shaqiri dk95.
Chelsea: Cech, Ivanovic, Cahill, Luiz, Cole, Ramires, Lampard, Hazard, Oscar, Schurrle, Torres/Lukaku dk97.
Loss: Lukaku looks on after his decisive penalty miss in Prague

Champions again: Bayern celebrate the win after Neuer's penalty save

Level: Javi Martinez (right) scores for Bayern in the last minute of extra time

Strike: Hazard scored his first goal of the season in the 93rd minute, driving low past Neuer

Ahead: Hazard put Chelsea 2-1 up in extra time in Prague

Off you go: Ramires was sent off late in normal time for a second bookable offence

In behind: Ashley Cole of Chelsea and Arjen Robben battle for the ball

Great strike: Torres wheels away after putting Chelsea 1-0 up

Level: Franck Ribery scored just after half-time for Bayern with a 20-yard drive


Fanatics: Bayern supporters paint Prague red before the game

Momentum: Mourinho was looking to continue his unbeaten start as Chelsea boss

Man manager: Ribery went straight to Bayern boss Pep Guardiola after scoring the equaliser

New venue: Stadion Eden in Prague was the stage for the final, which is usually held in Monaco
No comments:
Post a Comment