facebook likes

Wednesday, August 28, 2013

AUNT EZEKIEL AJERUHIWA VIBAYA NA CHUPA AKIWA CLUB. ...HIZI PICHA ZAKE

Actress Aunt Ezekiel amechimbwa na kitu chenye ncha kali kinachodaiwa kuwa chupa katika mkono wake wa kushoto. 
SOMA ZAIDI.....
Tukio hilo lilitokea juzi katika ukumbi wa Club Billicanas wakati Wema Sepetu akitambulisha wasanii wapya wa Bongofleva. Habari ambazo bado sio rasmi ni kuwa huenda muigizaji huyo alikumbwa na tukio hilo hatari kutokana na issue za kimapenzi yaani kugombea mwanaume siku za nyuma au sasa. Tutakujuza zaidi kinachoendelea. Ugua pole Aunt. Angalia picha chini jinsi actress huyo alivyojeruhiwa.......
Mkono uliojeruhiwa kabla ya kufungwa

Aunty akiwa hospital baada ya kupatiwa matibabu.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...