facebook likes

Saturday, August 24, 2013

PENZI LA KWELI HALIFI::WATAZAME WASANII LINAH NA AMINI WALICHOFANYA KWENYE TAMASHA LA FIESTA

Amini na Linah wakikumbushiana kama zamani katika show ya Serengeti fiesta 2013 Tabora ndani ya uwanja wa Aly Hassan mwinyi.

Amini na Linah wakikumbushiana kama zamani...(picha kwa hisani ya bongo5)

Wasanii lukuki wa muziki wa kizazi kipya usiku wa jana wamewapatia burudani wakazi wa Tabora kwenye show ya Fiesta iliyofanyika kwenye uwanja wa Ally Hassan Mwinyi. 

SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI......Miongoni mwa mambo yaliyozalisha shangwe la kufa mtu ni pamoja na Amini kumbusu mdomoni mpenzi wake wa zamani Linah waliyependa naye kwenye stage. Tazama picha za namna mambo yalivyokwenda.


Amini na Linah
Amini na Linah
Amini

Amini

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...