facebook likes

Wednesday, September 18, 2013

TIZAMA VIDEO YA MZUNGU AKIIMBA NYIMBO YA DIAMOND-"MBAGALA"

Nassib Abdul a.k.a Diamond Platnumz aingiwa na imani ya muziki wetu kufika mbali zaidi baada ya nguli huyo kushuhudia video ya Mmarekani aliyetambulika kwa jina la Chris Vickio akiimba wimbo wa “mbagala” wote.
Tazama hapa video hiyo.......

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...