facebook likes

Saturday, September 21, 2013

Meno Ya Ronaldinho Yarekebishwa, Unaweza Kuona Picha Zote Hapa

               Kabla                                                      Sasa
Angeishi maisha yake yote bila kufanya tangazo la dawa za meno ila kwa sasa naamini kampuni nyingi zita mtafuta Ronaldinho baada ya kufanyiwa marekebisho kwenye meno yake. 
SOMA ZAIDI....Meno ya mwana soka huyu yalimsumbua kwa muda mrefu kwani alikuwa akitaniwa na kushindwa kujiamini mbele za watu kwa sababu ya kuwa na meno mabovu.

Ukizingatia alishawahi kuwa mmoja ya wachezaji wanaolipwa zaidi duniani asingeshindwa kulipaPauni 36,000 kwa marekebisho haya.
 
 

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...