facebook likes

Sunday, September 15, 2013

ARSENAL YAUA 3-1 MESUT OZIL AKING'ARA ILE MBAYA, MAN UNITED YAPIGA MTU 2-0, MAN CITY YAKABWA KOO

Big buy: Mesut Ozil made his debut for Arsenal after making a £42.5million move from Real Madrid last week
MCHEZAJI mpya ghali wa Arsenal, Mesut Ozil, ambaye amebeba mustakabali wa kocha Arsene Wenger kubaki au kuondolewa akichemsha mwishoni mwa msimu, ameanza kazi vyema akiiwezesha Gunners kushinda 3-1 ugenini dhidi ya Sunderland.
SOMA ZAIDI.....
Kiungo huyo wa kimataifa wa Ujerumani aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni  42 kutoka Real Madrid siku ya mwisho ya usajili, aling'ara mno Jumamosi wakati Arsenal ikipata ushindi huo mnono.
Katika mchezo huo uliochezeshwa na refa Martin Atkinson, mabao ya Arsenal yalifungwa na Giroud dakika ya 11 na Aaron Ramsey mawili, dakika za 67 na 76, wakati bao pekee la Sunderland lilifungwa na Gardner dakika ya 48.

Kikosi cha Sunderland kilikuwa: Westwood, Celustka, Diakite, Roberge, Colback; Vaughan/Gardner dk46, Ki 6, Johnson, Fletcher/Wickham dk77, Altidore na Mavrias/Borini dk72. 
Arsenal: Szczesny, Jenkinson, Sagna, Koscielny, Gibbs, Flamini, Wilshere, Ozil/Vermaelen dk80, Ramsey, Walcott/Monreal dk88 na Giroud/Akpon dk90+3. 
Main man: Aaron Ramsey makes sure of the points with his second, and Arsernal's third goal at Sunderland
Mtu muhimu: Aaron Ramsey akifunga bao la tatu

Big buy: Mesut Ozil made his debut for Arsenal after making a £42.5million move from Real Madrid last weekMtu mkubwa: Mesut Ozil ameng'ara akiichezea Arsenal kwa mara ya kwanza tangu asajiliwe kwa Pauni Milioni 42
Big buy: Mesut Ozil made his debut for Arsenal after making a £42.5million move from Real Madrid last week
 Ozil anatoa pandeIn front: Arsenal's Olivier Giroud (right) scores to put his side ahead against Sunderland at the Stadium of Light

La kwanza: Mshambuliaji wa Arsenal, Olivier Giroud (kulia) akifunga bao la kwanza Uwanja wa Light
Strong start: German midfielder Mesut Ozil (right) set up Giroud as he made his debut for Arsenal
Mesut Ozil (kulia) akimpongeza Giroud
Naye kocha Manuel Pellegrini ameshindwa kufurukuta mbele ya Stoke City baada ya kulazimishwa sare 0-0.
Stoke: Begovic, Cameron, Shawcross, Huth, Pieters, Walters, Nzonzi, Wilson, Adam/Arnautovic dk70, Etherington/Ireland dk70 na Jones/Crouch dk77. 
Man City: Hart, Zabaleta, Garcia, Nastasic, Kolarov, Toure, Rodwell, Milner, Jovetic/Aguero dk63, Nasri/Navas dk73 na Negredo.
Disappointment: Manchester City striker Stevan Jovetic (left) reacts after missing a chance
Mshambuliaji wa Manchester City, Stevan Jovetic (kushoto) akisikitika baada ya kukosa bao

Nayo Manchester United imeibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Cyrstal Palace na kumpa faraja wake kocha wake mpya, David Moyes katika mechi ambayo kocha wa zamani wa Mashetani hao Wekundu alikuwepo uwanjani kushuhudia.
Mabao ya United yalifungwa na Robin van Persie kwa penalti dakika ya 45 na Wayne Rooney dakika ya 81.
Kikosi cha Man United kilikuwa: De Gea, Fabio, Ferdinand, Vidic, Evra , Anderson/Fellaini dk61, Carrick, Valencia, Rooney, Young/Januzaj dk66 na Van Persie.
Crystal Palace: Speroni, Mariappa, Gabbidon, Delaney, Moxey, Dikgacoi, Jedinak, Puncheon, Gayle/Jerome dk63, Campana/Guedioura dk58, Chamakh/Kebe dk74.
Dubious: Ashley Young went down under pressure on the edge of the box and a penalty was awarded
akienda chini ndani ya eneo la hatari kuipatia United penalti
Dismissed: Kagisho Dikgacoi (obscured) was issued a red card by referee Jon Moss because of the alleged foul
Nyekundu: Kagisho Dikgacoi alipewa kadi nyekundu na refa Jon Moss
Decisive: Robin van Persie rolled home from the spot to break the deadlock on the stroke of half-time
Kitu na boksi: Robin van Persie akiifungia United kwa penaltiPick that out: Wayne Rooney curled his free kick over the wall and into the net
Wayne Rooney akipiga mpira wa adhabu kufunga
Happy days: Rooney celebrates after doubling United's lead with his set piece
Furaha imerejea: Rooney akishangilia bao lakeAll over again: Young, booked for diving earlier, went down easily in the game's decisive moment
Young akienda chini tena
Hi guys: Wayne Rooney was back in action after missing England's World Cup qualifiers
Wayne Rooney akiwapungia mashabiki
Not affected: Rooney went about his business and scored a free-kick, with a headband covering his cut
Not affected: Rooney went about his business and scored a free-kick, with a headband covering his cut
Go on son: David Moyes threw on new recruit Marouane Fellaini as a second-half substitute
Go on son: David Moyes threw on new recruit Marouane Fellaini as a second-half substitute

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...