facebook likes

Monday, July 1, 2013

BEYONCE ON STAGE AKIWA AMEVAA VAZI LA KANGA LILILOBUNIWA NA MTANZANIA

Unajisikiaje pale unapoona product ya kitanzania ama kitu  kilichobuniwa/kutengenezwa na mtanzania kinatumiwa
 na mtu mkubwa duniani??furaha siyo??ndivyo ninavyojiskia mimi...picha hapo juu
 aliyeshika mic ni mwanamziki wa 
kimataifa Beyonce akiwa stejini,vazi alilovaa ni vazi la khanga na
 ukitizama vizuri kuna maandishi ya kiswahili..kama
 sikosei yameandikwa"MAPENZI NI YA WAWILI NYINYI
 YAWAHUSU NINI?"basi vazi hilo amevalishwa 
na mbunifu mtanzania ajulikanae kama Chichi London..inatia
 faraja kuona kuwa watanzania tunaweza kufanya kitu kikubwa na kikaonekana
 isipokuwa kinachoturudisha nyuma ni chuki
 zisizokuwa na maana..big up Chichi London
Chichia London,Mbunifu wa kimataifa mwenye asili ya
 kitanzania akiwa kwenye pozi...!!

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...