facebook likes

Thursday, February 21, 2013

TAYLOR ASHITAKIWA KWA KUVUNJA TAMASHA




MSANII wa muziki Taylor Swift ameshitakiwa kwa kuvunja tamasha na kusababisha hasara Pound  1.6 Kwa mujibu wa US report , taarifa hizo zilieleza hatua hiyo imekuja baada ya kushindwa kufika katika tamasha la Muziki  lililokuwa linafanyika Canada ambalo lililipewa dau kubwa .

Japokuwa tamasha hilo lilivunjwa lilikuwa lifanyike Ottawa Agosti 2012 na kampuni iliyoandaa ticketi iliamua kuchukua sheria na kumshitaki Taylor baada ya kuvunja tamasha hilo.

Taarifa ilieleza kuwa ada kubwa aliyolipia alidhani ingefiadia fedha za tiketi lakini haikuwa hivyo
Mwakilishi wa mwanamuziki huyo alisema makataba wao haukuhusisha kampuni ya kukata tiketi kwa hiyo awezi kufidia hasara hiyo.Pia alilaumu kwa kutokujua shitaka lake

Mwaka 2010 Taylor alishakiwa na Meneja wake Dan Dymtrow kwa kuvunja  mkataba.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...