facebook likes

Tuesday, February 12, 2013

NAS NA DAMIAN MARLEY SOON KUTOA BURUDANI KALI TANZANIA

Rapper Nas na mtoto wa mwisho hayati Bob Marley maarufu kama Damian Marley tarehe 15 Feb na 16 feb wanatarajia kutua katika ardhi ya Kikwete kwa ajili ya ziara yao waliyoipa jina la Damian Marley- Nas African Tour. Kundi hilo kwa sasa wanatamba na album yao inayofanya vizuri hapa africa"Distance Relative"ambayo waliuza chini ya kopi milioni tano.

 Hii ni orodha ya nchini ambazo zimetajwa ambazo Nas na Damian wanatarajia kutoa burudani.

v Accra, Ghana
v Johannesburg, SA
v Cape Town, SA
v Dar-Es-Salaam, Tanzania
v Harare, Zimbabwe
v Nairobi, Kenya
v Kampala, Uganda
v Addis Ababa, Ethiopia........

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...