facebook likes

Friday, February 22, 2013

KOMEDI VIDEO KUTOKA KENYA.......

Hawa jamaa ni Wakenya, kama hujawahi kuwatazama ni kwamba huwa wanategesha Video Camera sehemu mbalimbali alafu wanaanza kuwazingua watu bila hao watu kujua kama wanarekodiwa, video ya kwanza inamuonyesha jamaa ambae anajidai ni askari alafu anasimamisha gari wakati akiongea na dereva ghafla anaamua kujisogeza pembeni na kuongea na mrembo.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...