facebook likes

Tuesday, October 1, 2013

Ndoto Zake Zimeanza kutimia, Rapper Jon Connor Amepata Mkataba Mkubwa Kwa Dr Dre, Fuatilia Hapa

Rapper Jon Connor amepata mkataba mkubwa chini ya lebel ya Producer Dr Dre, Aftermath Records. Rapper huyu amekuwa Undergroud kwa muda mrefu sana na amekuwa akisaidiwa kwenye game na rappers kama Big Sean na Nas. 
SOMA ZAIDI...
Rapper Huyu Jon Connor amefunguka haya kwenye kipengele  chake cha Cypher ya Tuzo za BET Za HipHop Mwaka Huu.
 
Alishirikishwa na rapper Xzibit kwenye tour yake ya mwaka 2012 na ndio akapata connection kwa Dr Dre. Connor ametoa mixtape kadha kama Salvation ya mwaka 2011 na Unconscious State iliyofika namba 35 kwenye Billboard  Top 200 baada ya wiki mbili sokoni.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...