facebook likes

Wednesday, September 25, 2013

Mpwa Wa Rais Uhuru Kenyatta Alipigwa Risasi Nane Baada Ya Kumkinga Mchumba Wake Aliyeuawa Pia Kwenye Shambulio La Kigaidi.

Mpwa , ndugu wa kenyata

Mpwa wa Raisi Uhuru Kenyata
Taarifa zinasema kwamba Mpwa wa Rais Uhuru Kenyatta anayejulikana kwa jina la Mbugua siku ya Jumamosi (Sept 21) alikwenda na Mchumba wake Rosemary katika jengo la biashara Westgate kununua pete za ndoa kwaajili ya maandalizi ya harusi yao,
SOMA ZAIDI....

kwa mujibu wa mashuhuda walisema,Mbugua alikuwa ameshatoka nje baada ya magaidi hao kuishambulia Westgate ndipo aliamua kurudi ndani kumuokoa mchumba wake na kukutana na mauti hayo.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...