facebook likes

Saturday, September 7, 2013

PICHA:NI ZAMU KWA ZAMU...BAADA YA FEZA KWENDA KWA ONEIL,SASA ELIKEM ATUA ZIMBABWE KWA AJILI YA POKELLO....

Big Brother Africa (BBA) The Chase finalist, Elikem Kumordzie amefika  Zimbabwe na alipokelewa na girlfriend wake, Pokello Nare  akiwa na mashabiki wengine Harare International Airport.
ANGALI APICHA ZAIDI.....
Mghana huyo aliyeuteka moyo wa pokello,alimtambulisha kwa mama yake alipomaliza tu mashindano ya BBA huko South Africa.

Kule airport tape measures ilikuwa kitu cha undani ambacho fans wengi walivaa kwenye mashingo yao kuacknowledge  profession ya Elikem ya ufundi cherehani...

Fans walikuwa wamevaa kofia zimeandikwa Polikem (Pokello+Elikem) wengine walikuwa wamehold bunners zimeandikwa ‘Welcome Elikem’ and ‘Our mukwasha (mkwe wetu)’.


Kwenye ujio wake huo Hovhorosi Style designers walimpa Elikem  moja ya maoveralls ikiwa na signature ya rais Robert Mugabe na haraka alibadilisha na kuvaa overalls hiyo.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...