facebook likes

Saturday, February 9, 2013

D’BANJ 2013

Ukiniuliza ni stori gani kubwa niliyoisoma kutoka kwenye website za Nigeria toka 2013 ianze, nitakwambia ni stori kuhusu D’Banj kutajwa kwamba nae ameingizwa kwenye dini inayomuabudu shetani, pamoja na hayo yanayosemwa.. sijawahi kumsikia D’Banj mwenyewe akizungumzia… zaidi ni anatoa tu kazi mpya kama hiyo video hapa chini ya Cash flow.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...