facebook likes

Sunday, September 29, 2013

Olawale Ojo Wins MTN Project Fame Season 6


MTN Project Fame contestant Olawale Ojo has just beaten five other contestants to emerge this season’s winner!

Too Bright? Checkout Dbanj’s wedding look


With Dbanj appearance is everything.He attended a wedding looking like a million dollars.Don’t know the name of those shoes but I bet they are pretty expensive…

FEZA KESSY AVAMIWA NA MAJAMBAZI WENYE SILAHA NZITO.....MWENYEWE AFUNGUKA NA KUONGEA KWA MASIKITIKO..!!


Feza Kessy mshiriki wa Big brother the Chase amepatwa na matatizo ya kuvamiwa na majambazi wenye silaha siku mbili zilizopita.
SOMA ZAIDI....

Interview ya Wema Sepetu , amzungumzia Diamond, maisha yake binafsi na mengine mengi. (mtandao wa bongo5)

Siku ya jana akisherehekea siku yake ya kuzaliwa, mwanadada wema sepetu alipata nafasi ya kufanya interview na mtandao wa burudani wa bongo five.


Katika interview hii, wema sepetu ameongelea mambo mengi sana na makubwa yakiwema mapenzi, na maisha yake bunafsi kwa ujumla. Ifuatayo na sehemu ya interview hiyo kama iliyonukuliwa toka mtandao kwenye mtandao huo 

SOMA ZAIDI....

DIAMOND PLATNUM ALIVYOACHA HISTORIA ZANZIBAR KWA SHOW YAKE KALI, CHEKI HAPA ILIVYOKUWA.



Baada ya kuwasili uwanja wa ndege Zanzibar
ANGALIA PICHA ZAIDI.....

PICHA ZA MSHINDI WA MISS WORLD NA NAMNA TUKIO ZIMA LILIVYOKUWA CHEKI HAPA.

Miss Philippines Megan Young mwenye umri wa miaka 23 amevishwa taji la Miss World ambalo limefanyika huko Indonesia. Megan ni mzaliwa wa Marekani na ana umri wa miaka 23 anasomea mambo ya digital film. Mshindi wa pili ametoka France na watatu kutoka Ghana.

SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI.....

HUYU NDIO BINTI ALIYEVULIWA NGUO HADHARANI NA WANAKIJIJI MARA BAADA YA KUMCHANA NA VIWEMBE RAFIKI YAKE ALIYEMFUMANIA NA MPENZI WAKE..!!

 
 Hawa  ni  mabinti  wawili  ambao  walikuwa  ni  marafiki wa  damu.Urafiki wao uliingia  dosari  baada  ya  mabinti  hao  kusalitiana  na  kuchukuliana  wapenzi.... 
SOMA ZAIDI....

Paul Okoye (P SQUARE): chilling with Anita makes me happy

1240337_277498039042083_1988491584_n
Paul of Psqaure shares a picture of him and his boo having fun in their sitting room, he said quoted Anita makes her happy when ever hey hang out…
Home chilling with ma swt hrt Anita. #Family #Humble #OneSpecialOnethatMakesMeHappy *wink*

AMBER ROSE WA NIGERIA ATIMIZA NDOTO YAKE YA KUKUTANA NA AMBER ROSE


Amber-Rose
Mwanadada wa Nigeria Honey J. Wills anayependa kuitwa jina la Amber Rose mwishoni mwa wiki aliweza kutimiza ndoto hizo baada ya kukutana na mwanadada huyo katika mashindano ya Miss Earth.
SOMA ZAIDI....

Tuface idibia Comfirms He is Expecting His 7th Child (Photo)

annie_pregnant2

Photos: Beverly & Angelo Passionately Kissing At Her Birthday Party Last Night


Awwwwww.  Close your eyes if you have gone to church this morning. *lol* Melvin made it back in time for the party.

MAJAMBAZI WAFANYA UMAFIA BENKI DAR, WAPORA ZAIDI YA TSH 150, WALIINGIA WAKIWA NA SARE ZA POLISI KUWAZUGA WAFANYAKAZI!


Majambazi saba akiwemo mmoja ambaye amevalia sare za polisi wameiteka benki ya I&M  jijini Dar es Salaam na kuchukuwa fedha zinazohisiwa  kuwa  ni zaidi ya shilingi milioni 150 na kutokemea kusikojulikana.
SOMA ZAIDI.....

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...