News, Events, Entertainment, Sports, Lifestyle, Fashion,politics, Beauty, Inspiration and yes... Gossip!
facebook likes
Sunday, September 29, 2013
PICHA ZA MSHINDI WA MISS WORLD NA NAMNA TUKIO ZIMA LILIVYOKUWA CHEKI HAPA.
Miss
Philippines Megan Young mwenye umri wa miaka 23 amevishwa taji la Miss
World ambalo limefanyika huko Indonesia. Megan ni mzaliwa wa Marekani na
ana umri wa miaka 23 anasomea mambo ya digital film. Mshindi wa pili
ametoka France na watatu kutoka Ghana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment