facebook likes

Thursday, September 5, 2013

Mbali Na Kipaji Kikubwa Mvuto Na Nafasi Aliyokuwa Nayo Katika Muziki, Huyu Ndiyo Star Wa Muziki Ambaye Kwa Muda Mrefu Alikuwa Hajiamini Juu Ya Uwezo Wake Wa Kuimba

Mbali na mafanikio makubwa aliyonayo kimuziki, Jennifer Lopez amewashangaza wengi hasa baada ya kuweka wazi kuwa amekuwa kwa muda mrefu sana na tatizo la kutokujiamini katika uimbaji wake.
SOMA ZAIDI...................

HOT NEWZZ: Mwanamke alivyokamatwa na dawa za kulevya uwanja wa ndege JNIA leo mchana huyu hapa

Jitihada za kurejesha heshima kwa viwanja vya ndege nchini zilizoanzishwa na waziri wa uchukuzu Dk. Harisson Mwakyembe zinaonekana kuzaa matunda baada ya mwanadada kutoka nchini Nigeria Anthonia Ojo (25) kukamatwa na kete 99 za madawa ya kulevya dar es salaam leo.
SOMA ZAIDI............

kesi ya bilionea wa madini aliyeuawa yaanza kuunguruma..

 Watuhumiwa wa kesi ya mauaji ya bilionea wa madini Erasto Msuya,Sharifu Mohamed na Musa Mangu wakiwa mahakamani.
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI.........

BUNGE LACHAFUKA TENA: WABUNGE WA VYAMA VYA UPINZANIA WATOKA NJE KUIPIGANIA ZENJI

-WABUNGE CHADEMA, CUF, NCCR WATOKA NJE WAKIPIGANIA ZANZIBAR

MUSWADA wa marekebisho ya pili ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura ya 83 umezua balaa bungeni, baada ya wabunge wa Kambi ya Upinzani, bila kujali itikadi za vyama kutoka nje ya Bunge.
SOMA ZAIDI...........

SHINDANO JIPYA LA TANZANIA TOP MODEL LAZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM

1
Mbunifu wa mitindo nchini Asia Idarous akizungumza wakati wa uzinduzi wa shindano jipya la wanamitindo linalojulikana kwa jina la Tanzania Top Model uliofanyika jana kwenye mgahawa wa City Sports Lounge jijini Dar es salaam  na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa mitindo ya mavazi, Kulia ni Jackson Kalikumtima Mkurugenzi  wa Kamati ya Tanzania Top Model, na kulia ni Bw. Khamsin.
SOMA ZAIDI..............

'Kilio' Cha Msanii Mwingine Wa Bongo Flava Kwa Diamond Platinumz Baada Ya Kuachiwa Kwa #MyNumberOne

#ENJOY Hapa Ngoma Mpya Ya Mr Blue - Pesa

ISIKILIZE HAPA....

Huyu Ndiye Star Wa Rap Aliyeingia Katika Scandal Ya Kuazima Madini, Anadaiwa Zaidi Ya Shilingi Milioni 161 Baada Ya Kutoweka Nayo Moja Kwa Moja

Staa wa muziki kutoka mbele, Tyga ameingia katika 'skandali' kubwa  ya kesi ya madai ya fidia baada ya kile kinachosemekana kuwa ni deni la kiasi cha dola zipatazo 100,000 ambazo anadaiwa kwa kuchukua/kuazima vito vya thamani ikiwepo chain na saa za almasi katika duka bila kulipia.
                      

SOMA ZAIDI............

SAKATA LA AGNESS MASOGANGE. AINGIZWA CHUMBA CHA MATESO ATAJA ALIYE MTUMA MADAYA HAYO YA KULEVYA

 
IMEVUJA! Staa muuza nyago kwenye video za wasanii wa muziki wa kizazi kipya na filamu za Kibongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ na shosti wake, Mellisa Edward kabla ya kupandishwa kizimbani kwa msala wa dawa za kulevya ‘unga’ Afrika Kusini waliingizwa kwenye chumba cha mateso kwa saa 24 ili kutaja waliowatuma.
SOMA ZAIDI............

Mwana Fa Na Ay Ndani Ya Studio Za Decimal Media Kenya.


Nilikupa taarifa mapema week hii kuwa Mwana FA Na Ay watakwenda Kenya kufanya Kazi na producerEric Musyoka wa Decimal Media. Well studio session imeanza jama usiku, Nimesikia mistari na beat ya Mwana Fa, Hio Joint Itakuwa Classic.
SOMA ZAIDI....

Nelly Aamua Kufanya Biashara Na Lebron James, Fahamu Hapa Bidhaa Waliyotengeneza Kwa Pamoja

Nelly pamoja na Lebron James wameungana pamoja katika kifanya 'biz', ambapo mastaa hawa wametoa brand ya sneakers ambazo zimepatiwa jina "Must Be The Honey".

SOMA ZAIDI.....

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...