facebook likes

Tuesday, September 17, 2013

BONDIA FRANCIS CHEKA AAMUA KURUDI DARASANI KATIKA SHULE YA St. Joseph huko Morogoro

 
Jumatatu ijayo ni siku maalum sana kwa bondia Francis Cheka aliyeitoa kimasomaso Tanzania hivi karibuni baada ya kumtwanga kwa pointi Mmarekani Phill Williams 'The Drill' na kutwaa ubingwa wa WBF uzito wa kati. 
SOMA ZAIDI......

JIONEE BINADAMU WALIO NA MWONEKANO WA TOFAUTI....


Ama kweli ukishangaa ya Musa utaona ya Firauni" Katika hali isiyokuwa ya kwaida huyu ndiye mwanamke aliyefanikiwa kuingiza katika kitabu cha kumbukumbu ya Dunia WORLD RECORD GUINESS BOOK.

SOMA ZAIDI....

ANGALIA PICHA SHEIKH PONDA ALIVYOFIKISHWA MAHAKANI LEO MOROGORO


 Sheikh Ponda Akishuka kwenye basi la Magereza tayari kuingia Mahakamani Kusikiliza kesi yake inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoani Morogoro.
SOMA ZAIDI....

Rais Wa Olympic Thomas Bach Kuanza Kazi Rasmi Leo

 Rais mpya wa kamati ya kimataifa ya Olimpiki IOC, Thomas Bach ataingia katika ofisi yake mpya rasmi leo Jumanne mjini Lausanne, nchini Uswisi ,
SOMA ZAIDI..

LIVERPOOL YASHIKWA NA SWANSEA 2-2, MOSES AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO ANFIELD


Acknowledged: Michu went straight over to Jonjo Shelvey (right) after netting Swansea's second goal
Raha ya mechi bao: Michu akienda kwa Jonjo Shelvey (kulia) kushangilia naye baada ya kuifungia bao la pili Swansea dakika ya 64 ikimenyana na Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana. SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI....

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...