facebook likes

Saturday, August 31, 2013

KUWA WA WA KWANZA KUANGALIA Number One VIDEO Behind the scene (VIDEO MAKING BY Diamond Platnumz!! SALUTE KWAKE

CHELSEA YAPIGWA NA BAYERN KWA MATUTA

BAYERN Munich imetwaa Super Cup ya Ulaya baada ya kuifuna Chelsea kwa penalti 5-4 kufuatia sare ya 2-2 na Jose Mourinho ameshindwa kutwaa taji la kwanza baada ya kurejea darajani mbele ya Pep Guardiola.
Loss: Lukaku looks on after his decisive penalty miss in Prague
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI............

HII NDO JEURI YA PESA TOKA KWA JOSE CHAMELEONE..ATENGENEZEWA SIMU AINA YA I-PHONE 5 YENYE PICHA YAKE .ANGALIA HAPA

5790e2d6118111e3ac5422000ab5ba5d_7
Ukiwa na hela, unaweza kufanya lolote. Kila mwenye nazo anaweza kumiliki iPhone 5 lakini Jose Chameleone angependa kuwa na yake mwenyewe, ndio maana ameamua kuingia zaidi mfukoni kutengenezewa yake mwenyewe. 

WAASI WA M23 WAANZA KUSALIMU AMRI BAADA YA KUPEWA KICHAPO KIKALI NA JWTZ ( MONUSCO)

Waasi wa M23 Mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamesema kuwa watasitisha mapigano, kufuatia makabiliano makali na wanajeshi wa serikali wanaoungwa mkono na wanajeshi wa Umoja wa Mataifa ikiwemo  JWTZ.
 SOMA ZAIDI..............

WABUNGE WATAKA MBIO ZA MWENGE ZIFUTWE

MBIO za Mwenge wa Uhuru nusura ziahirishe shughuli za Bunge baada ya baadhi ya wabunge kutaka zifutwe na hoja hiyo ijadiliwe bungeni.
  SOMA ZAIDI..............

AIBU KWA TANZANIA.....MKUU WA JESHI LA POLISI TANZANIAI INSPEKTA JENERALI SAIDI MWEMA AIBIWA UPANGA WENYE THAMANI YA SH600 MILIONI JIJINI DAR ES SALAAM.

JESHI la Polisi limeingia katika kashfa nzito baada ya mkuu wake, Inspekta Jenerali Said Mwema, kuibiwa upanga wa dhahabu ambao ni mali ya Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi wa nchi za Kusini mwa Afrika (SARPCCO).
SOMA ZAIDI..............

TASWIRA YA FRANCIS CHEKA ALIVYOMGALAGAZA MMAREKANI NA KUCHUKUA UBINGWA WA DUNIA

 Mgeni Rasmi katika Mpambano wa Kimataifa wa kuwania Mkanda wa Ubingwa wa Dunia wa WBU,kati ya Mabondia Francis Cheka wa Tanzania na Phil Williams wa Marekani,Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo, Mh. Dkt. Fenella Mukangala (mwenye koti jeupe) akimvisha Mkanda wa Ubingwa huo, Bondia Francis Cheka baada ya kumshinda kwa Point Mpinzani wake, katika Mchezo uliomalizika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee,Jijini Dar es Salaam. 
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI......

Beverly Apologises To Nigerians, Says She Didn’t Have Sex In BBA House

beverly-osuBeverly Osu, one of Nigeria’s representatives at the just concluded Big Brother The Chase, has said that contrary to the general assumption about what happened between her and fellow housemate, Angelo, while in the house, she never had sex both in the bathtub and under the duvet.

TFF, AZAM MEDIA ZASAINI MKATABA WA SH. BILIONI 5.5/-

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na kampuni ya Azam Media leo (Agosti 30 mwaka huu) wamesaini mkataba wa haki za kipekee za televisheni (exclusive rights) utakaoiwezesha Azam TV kuonesha mechi za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL).
SOMA ZAIDI............

PRESIDENT JAKAYA KIKWETE AT THE HIGH-LEVEL RETRAT ON 'NEW IDEAS FOR A FAIR GLOBALIZATION IN ALPABCH

President Jakaya Mrisho Kikwete in a group photo with hosts and participants in the High-level Retreat on "New Ideas for a Fair Globalization in Alpabch, Austria August 30, 2013. 

UPDATE:NYUMBANI KWA LIYUMBA KWAWAKA MOTO

                                                  Amatus Joackim Liyumba.
NYUMBANI kwa aliyekuwa kigogo wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Mbezi-Afrikana, jijini Dar, Amatus Joackim Liyumba kumewaka moto baada ya kigogo huyo kuibuka na askari na kumtoa kwa nguvu mkewe, Aurelia Paul Ngowi na wanae wawili. 
SOMA ZAIDI.......

PICHA 40 ZA UZINDUZI MOVIE MPYA YA LULU 'FOOLISH AGE ' MLIMANI CITY JANA USIKU.

 Elizabeth Michael Aka Lulu akitoa Shukrani kwaWadau wote waliojitokeza katika Usiku wake wa uzinduzi wa Filamu yake Mpya iitwayo Foolish Age uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City Usiku wa Kuamkia Leo
ANGALIA PICHA ZAIDI............

Friday, August 30, 2013

Ida Ljungqvist,Mtanzania wa kwanza na mwafrika wa kwanza kupiga picha za playboy magazine..She is hooot

ANGALIA PICHA ZAIDI..........

J.J Okocha Joins Nollywood, Abandons Football For Movies

photo
According to  reports, our veryown Nigerian football legend Austin JJ Okocha is currently producing a movie about reggae star Majek Fashek.

Pongezi madaktari & timu: Saa 4 Muhimbili za kuwatenganisha pacha walioungana

Picture
Daktari Bingwa wa Watoto katika Hospitali ya Muhimbili, Profesa Karim Manji (wa pili kushoto) akifurahia na wenzake baada ya kufanikiwa kwa operesheni ya kuwatenganisha watoto walioungana, kazi iliyofanywa na jopo la madaktari bingwa saba kwa saa 4. 
SOMA ZAIDI..........

HUYU NDO SAMAKI WA AJABU ALIYEPATIKANA KAFA KANDO YA BAHARI NCHINI NIGERIA, MDA MCHACHE TU BAADA YA KUTOKEA MCHAFUKO WA BAHARI

whale alpha beach lagos nigeria
A gigantic sea creature was spotted by residents of Alpha Beach in Lagos yesterday.
The dead whale hit the sea shores due to the dangerous impact of Ocean surge on sea creatures.

TUPIGIE KURA YAKO ILI TUWEZE KUIBUKA WASHINDI KWENYE MASHINDANO YA BLOGU,SOMA MAELEKEZO YOTE HAPA

Wasomaji na wafuatiliaji wa blog ya jovinbachwa.blogspot.com tunapenda kuwafahamisha kuwa Blogu yetu itashiriki katika shindano la blog Katika vipengele Vifuatavyo
  • Best Newcomer Blog
  • Best General Blog
  • Best Entertainments
  • Best News Blog
  • Best Educational Blog
 Jinsi ya kufanya
1. Nenda sehemu ya kuandika ujumbe (email), yaani sehemu ya Email yako unapo compose kisha Andika 
Subject:- http://jovinbachwa.blogspot.com/
Sehemu ya kuandika ujumbe/Post:-  Andika hivi vipengele
  • Best Newcomer Blog
  • Best General Blog
  • Best Entertainments
  • Best News Blog
  • Best Educational Blog

Kwa maelezo zaidi na vipengele vingine ingia/bofyatanzanianblogawards

UNAWEZA KUFANYA YAFUATAYO
3. Unaweza kupendekeza blog katika vipengele vingi upedavyo lakini katika kila email unayotuma ni blog moja tu utaruhusiwa kuipendekeza kwa wakati mmoja
 
Kwa mfano:  Kwenye subject unaandika jina la blog unayotaka kuipendekeza 
 yaani

  jovinbachwa.blogspot.com

Kwenye body ya email unaandika vipengele unayotaka blog hii ishirikishwe
 
  • Best Newcomer Blog
  • Best General Blog
  • Best Entertainments
  • Best News Blog
  • Best Educational Blog

4. Email iwe ni ya ukweli kama tukiwa tunataka kuwasiliana na wewe kuhusu link ya blog uliyopendekeza tuweze kufanya hivyo na tuma mapendekezo yako kwa hii hapa 

nomination@bloggersassociationoftanzania.com
     au tanzanianblogawards@gmail.com

5. Mwanzo wa kupokea mapendekezo hayo ni
Tarehe 17/8/ 2013 saa 12:01am mpaka tarehe 02/9/2013 saa 11:59pm saa za Afrika mashariki

:::::UKIWA KAMA MPENZI NA MFUATILIAJI WA BLOGU YETU HII TUNAOMBA UTUME MARA NYINGI UWEZAVYO ILI TUWEZE KUINGIA KWENYE MASHINDANO HAYA NA KUIBUKA WASHINDI,TUNATANGULIZA SHUKRANI ZETU.

NEWS:HII NDIO TWEET YA FUSE MZEE WA AZONTO AKIWEKA WAZI UJIO WAKE NCHINI TZ.......

SOMA ZAIDI........

NEW AUDIO;SIKILIZA HAPA UJIO MPYA WA GK-BARAKA AU LAANA

DOWNLOAD AND LISTEN HERE AFTER THE CUT....

SAMUEL ETO'O ATAMBULISHWA RASMI CHELSEA

ANGALIA PICHA ZAIDI..............

PICHA: CHELSEA YAMTAMBULISHA WILLIAN RASMI - APEWA JEZI NAMBA 22

WillianWillian
Amesaini mkataba wa miaka mitano
All in blue: The Brazilian will wear the No 22 shirt

Huu ujumbe wa “Birthday” wa Nisha kwa Hemedy wazua maswali yasiyo na majibu

Huu ujumbe wa “Birthday” wa Nisha kwa Hemedy wazua maswali yasiyo na majibu
Leo mwigizaji Hemedi Suleiman maarufu kama Hemedy PHD anasherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 27 katika ulimwengu huu.
SOMA ZAIDI.........

TUPIGIE KURA YAKO ILI TUWEZE KUIBUKA WASHINDI KWENYE MASHINDANO YA BLOGU,SOMA MAELEKEZO YOTE HAPA

Wasomaji na wafuatiliaji wa blog ya jovinbachwa.blogspot.com tunapenda kuwafahamisha kuwa Blogu yetu itashiriki katika shindano la blog Katika vipengele Vifuatavyo
  • Best Newcomer Blog
  • Best General Blog
  • Best Entertainments
  • Best News Blog
  • Best Educational Blog
 Jinsi ya kufanya
1. Nenda sehemu ya kuandika ujumbe (email), yaani sehemu ya Email yako unapo compose kisha Andika 
Subject:- http://jovinbachwa.blogspot.com/
Sehemu ya kuandika ujumbe/Post:-  Andika hivi vipengele
  • Best Newcomer Blog
  • Best General Blog
  • Best Entertainments
  • Best News Blog
  • Best Educational Blog

Kwa maelezo zaidi na vipengele vingine ingia/bofyatanzanianblogawards

UNAWEZA KUFANYA YAFUATAYO
3. Unaweza kupendekeza blog katika vipengele vingi upedavyo lakini katika kila email unayotuma ni blog moja tu utaruhusiwa kuipendekeza kwa wakati mmoja
 
Kwa mfano:  Kwenye subject unaandika jina la blog unayotaka kuipendekeza 
 yaani

  jovinbachwa.blogspot.com

Kwenye body ya email unaandika vipengele unayotaka blog hii ishirikishwe
 
  • Best Newcomer Blog
  • Best General Blog
  • Best Entertainments
  • Best News Blog
  • Best Educational Blog

4. Email iwe ni ya ukweli kama tukiwa tunataka kuwasiliana na wewe kuhusu link ya blog uliyopendekeza tuweze kufanya hivyo na tuma mapendekezo yako kwa hii hapa 

nomination@bloggersassociationoftanzania.com
     au tanzanianblogawards@gmail.com

5. Mwanzo wa kupokea mapendekezo hayo ni
Tarehe 17/8/ 2013 saa 12:01am mpaka tarehe 02/9/2013 saa 11:59pm saa za Afrika mashariki

:::::UKIWA KAMA MPENZI NA MFUATILIAJI WA BLOGU YETU HII TUNAOMBA UTUME MARA NYINGI UWEZAVYO ILI TUWEZE KUINGIA KWENYE MASHINDANO HAYA NA KUIBUKA WASHINDI,TUNATANGULIZA SHUKRANI ZETU.

WATU WAZIMA WAKODISHA WANAWAKE WA KUWANYONYESHA MAZIWA...

GAZETI la Morning Post la China Kusini limeripoti kwamba watu wazima nchini humo wanawalipa wanawake fedha ili wawanyonyeshe maziwa yao ya kifuani!
SOMA ZAIDI........

HUU NDO UTOTO ANAO FANYA KIPA WA ARSENAL ..NAKUMFANYA KOCHA WENGER AWE NA MAWAZO MDA WOTE KUTOKANA NA MATOKEO MABOVU

HUYU NDO MSANII WA FILAMU ALIYE NUSURIKA KIFO

MSANII wa filamu za Kibongo, Prisca Tadei hivi karibuni alinusurika kifo baada ya kupata ajali mbaya ya pikipiki wakati alipokuwa akielekea ‘location’ kushuti. 
SOMA ZAIDI........

Mark Mwandosya, amempigia debe Spika wa Bunge, Anne Makinda, akisema kuwa anafaa kuwa rais kutokana na sifa zake

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, asiyekuwa na wizara maalumu, Profesa Mark Mwandosya, amempigia debe Spika wa Bunge, Anne Makinda, akisema kuwa anafaa kuwa rais kutokana na sifa zake
SOMA ZAIDI........

Tough Champions League draw for Arsenal increases pressure on Arsene Wenger to find recruits

 Gunners play last year’s finalists Dortmund and big spenders Napoli in the Champions LeagueArsenal were put under further pressure to spend in the transfer market when they were drawn in the hardest group in the Champions League.

ARSENAL NA BARCA KATIKA KUNDI LA KIFO LIGI YA MABINGWA

 MABINGWA mara saba wa Ulaya, AC Milan, waliotolewa na Barcelona katika Ligi ya Mabingwa misimu miwili iliyopita, wamepangwa kundi moja na vigogo hao wa Katalunya katika hatua ya makundi msimu huu baada ya droo iliyopangwa jana.
SOMA ZAIDI..........

TUPIGIE KURA YAKO ILI TUWEZE KUIBUKA WASHINDI KWENYE MASHINDANO YA BLOGU,SOMA MAELEKEZO YOTE HAPA

Wasomaji na wafuatiliaji wa blog ya jovinbachwa.blogspot.com tunapenda kuwafahamisha kuwa Blogu yetu itashiriki katika shindano la blog Katika vipengele Vifuatavyo
  • Best Newcomer Blog
  • Best General Blog
  • Best Entertainments
  • Best News Blog
  • Best Educational Blog
 Jinsi ya kufanya
1. Nenda sehemu ya kuandika ujumbe (email), yaani sehemu ya Email yako unapo compose kisha Andika 
Subject:- http://jovinbachwa.blogspot.com/
Sehemu ya kuandika ujumbe/Post:-  Andika hivi vipengele
  • Best Newcomer Blog
  • Best General Blog
  • Best Entertainments
  • Best News Blog
  • Best Educational Blog

Kwa maelezo zaidi na vipengele vingine ingia/bofyatanzanianblogawards

UNAWEZA KUFANYA YAFUATAYO
3. Unaweza kupendekeza blog katika vipengele vingi upedavyo lakini katika kila email unayotuma ni blog moja tu utaruhusiwa kuipendekeza kwa wakati mmoja
 
Kwa mfano:  Kwenye subject unaandika jina la blog unayotaka kuipendekeza 
 yaani

  jovinbachwa.blogspot.com

Kwenye body ya email unaandika vipengele unayotaka blog hii ishirikishwe
 
  • Best Newcomer Blog
  • Best General Blog
  • Best Entertainments
  • Best News Blog
  • Best Educational Blog

4. Email iwe ni ya ukweli kama tukiwa tunataka kuwasiliana na wewe kuhusu link ya blog uliyopendekeza tuweze kufanya hivyo na tuma mapendekezo yako kwa hii hapa 

nomination@bloggersassociationoftanzania.com
     au tanzanianblogawards@gmail.com

5. Mwanzo wa kupokea mapendekezo hayo ni
Tarehe 17/8/ 2013 saa 12:01am mpaka tarehe 02/9/2013 saa 11:59pm saa za Afrika mashariki

:::::UKIWA KAMA MPENZI NA MFUATILIAJI WA BLOGU YETU HII TUNAOMBA UTUME MARA NYINGI UWEZAVYO ILI TUWEZE KUINGIA KWENYE MASHINDANO HAYA NA KUIBUKA WASHINDI,TUNATANGULIZA SHUKRANI ZETU.

Majambazi wapora Sh. bilioni moja benki Dar

Watu wanane wanaosadikiwa kuwa majambazi wakiwa na silaha za moto mmoja kati yao akiwa amevalia sare za Jeshi la Polisi na mwingine akiwa na simu ya upepo wamevamia Benki ya Habib Kariakoo jijini Dar es Salaam na kupora zaidi Sh. bilioni moja.
SOMA ZAIDI...........

Mwanajeshi wa JWTZ auawa vitani Kongo

Msemaji wa JWTZ, Meja Erick Komba.

Ofisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Meja Khatibu Mshindo, aliyekuwa  Brigedi ya Kimapigano (FIB), iliyoundwa na Umoja wa Mataifa (MONUSCO),  kwenye operesheni za umoja huo, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemorasia ya Kongo (DRC), ameuawa baada ya kujeruhiwa na bomu.
SOMA ZAIDI.........

TUJIKUMBUSHE NA ANALOJIA

ENZI HIZO:- huyu si mwingine bali ni Miss Tanzania 2005, Nancy Sumari Siku ya kwanza alipofika katika Ofisi za Kamati ya Miss Tanzania baada ya kutunganzwa na kuvishwa taji hilo. Mcheki alivyokuwa amemechisha.

HATIMAYE ARSENAL WENGER ASAJILI MCHEZAJI MWINGINE - AMRUDISHA RASMI FLAMINI KWA MKATABA WA MIAKA 3

Arsene Wenger amefanya usajili wa pili katika dirisha hili la usajili linaloelekea mwishoni kwa kumsajili kiungo wa zamani wa timu Mathieu Flamini kwa uhamisho wa bure kutoka AC Milan.
SOMA ZAIDI......

HATIMAYE VILLAS BOAS AKIRI BALE ANAKARIBIA KWENDA MADRID - LAKINI ASEMA WATAMPIGA FAINI KWA KUGOMA KUFANYA MAZOEZI

Klabu ya Tottenham huenda ikalazimika kumpiga faini nyota wake anayesakwa na Real Madrid, Gareth Bale baada ya kukosa kufika uwanja wa mazoezi kwa siku ya pili mfululizo.
SOMA ZAIDI...........

PICHA: MASHABIKI WA YANGA WALIPIGA MAWE BASI LA COASTAL UNION NA KUVUNJA VIOO NA KUMPASUA MCHEZAJI WA WAGOSI

Siku ya jana baada ya mchezo wa Yanga vs Coastal Union kuisha - timu ya Coastal ikiwa inaondoka uwanja wa taifa ilifanyiwa vurugu na mshabiki wanaosadikika kuwa wa Yanga.
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI.......

TUPIGIE KURA YAKO ILI TUWEZE KUIBUKA WASHINDI KWENYE MASHINDANO YA BLOGU,SOMA MAELEKEZO YOTE HAPA

Wasomaji na wafuatiliaji wa blog ya jovinbachwa.blogspot.com tunapenda kuwafahamisha kuwa Blogu yetu itashiriki katika shindano la blog Katika vipengele Vifuatavyo
  • Best Newcomer Blog
  • Best General Blog
  • Best Entertainments
  • Best News Blog
  • Best Educational Blog
 Jinsi ya kufanya
1. Nenda sehemu ya kuandika ujumbe (email), yaani sehemu ya Email yako unapo compose kisha Andika 
Subject:- http://jovinbachwa.blogspot.com/
Sehemu ya kuandika ujumbe/Post:-  Andika hivi vipengele
  • Best Newcomer Blog
  • Best General Blog
  • Best Entertainments
  • Best News Blog
  • Best Educational Blog

Kwa maelezo zaidi na vipengele vingine ingia/bofyatanzanianblogawards

UNAWEZA KUFANYA YAFUATAYO
3. Unaweza kupendekeza blog katika vipengele vingi upedavyo lakini katika kila email unayotuma ni blog moja tu utaruhusiwa kuipendekeza kwa wakati mmoja
 
Kwa mfano:  Kwenye subject unaandika jina la blog unayotaka kuipendekeza 
 yaani

  jovinbachwa.blogspot.com

Kwenye body ya email unaandika vipengele unayotaka blog hii ishirikishwe
 
  • Best Newcomer Blog
  • Best General Blog
  • Best Entertainments
  • Best News Blog
  • Best Educational Blog

4. Email iwe ni ya ukweli kama tukiwa tunataka kuwasiliana na wewe kuhusu link ya blog uliyopendekeza tuweze kufanya hivyo na tuma mapendekezo yako kwa hii hapa 

nomination@bloggersassociationoftanzania.com
     au tanzanianblogawards@gmail.com

5. Mwanzo wa kupokea mapendekezo hayo ni
Tarehe 17/8/ 2013 saa 12:01am mpaka tarehe 02/9/2013 saa 11:59pm saa za Afrika mashariki

:::::UKIWA KAMA MPENZI NA MFUATILIAJI WA BLOGU YETU HII TUNAOMBA UTUME MARA NYINGI UWEZAVYO ILI TUWEZE KUINGIA KWENYE MASHINDANO HAYA NA KUIBUKA WASHINDI,TUNATANGULIZA SHUKRANI ZETU.

RAY C AFUTA YA MASANJA, NAE AOKOKA KWA KUBATIZWA LEO! CHECK TUKIO ZIMA

Yule dada yetu msanii maarufu wa nyimbo za ubongo wa fuleva leo hii ameweka bayana ya kuwa yeye na shetani sasa ni paka na panya. Amethibitisha hayo katika post zake za instagram. 
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI.....

HII NDO KATUNI ILIYO CHORWA KUHUSIANA NA WATANZANIA KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA NJE YA NCHI

NANDO "NAHISI KUMPENDA MSHINDI WA BIG BROTHER DILLISH"

Nando ambaye anawindwa kama ndege na wasichana warembo wa Afrika wenye uchu na penzi lake, ameamua kutoficha hisia zake na kuzianika kwa mashabiki wake zaidi ya 19,000 wa Twitter
Army Nando @Ammynando I think I'm inlove with the BBA Chase winner..!!!.....
SOMA ZAIDI..........

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...