NIKKI MBISHI:AACHIA MIXTAPE XI KIWAENZI MANGWEA NA LANGA NA HII NDIO LIST YA NYIMBO ZITAKAZO KUWAMO
SOMA ZAIDI....
Nikki Mbishi ameachia final cover pamoja na mtiririko wa nyimbo zitakazokuwa kwenye malcom xi mixtape. Kwa Tsh 5000 tu utaweza kupata Malcom XI mixtape ndani kukiwa na wasinii kibao kama Farzhaad ‘Invincible’ Bandali, Jordan Kalyembe, KalApina Kikosi Cha Mizinga, Mycle Bertold, Malcolm Nikki Mbishi Jr., Harry Kaale, Niite Songa, Nikki Mbishi BabaMalcom, Minah Madoido and P The-mc Polymath. Ndani ya mixtape hiyo kutakuwa na wimbo unaitwa Langa na Mangwea ambao Nikki Mbishi amewaenzi wasanii hao wakali walipoteza maisa mwaka huu
Mtiririko wa nyimbo (tracklist) ya malcom xi mixtape ni kama ifuatavyo 1: intro 2: a.k.a 3: Nay Wa Mitego 4: yote sawa 5: Babu Bomba 6: Wapambe 7: Msuli Tembo 8: Kusingekuwa na Muziki 9: Pesa Kwanza 10: Dakika Mbili 11: udaku 12: usisubiri 13: kabla sijafa 14: wasifu wake 15: manufaa ya kimakenika 16: mabwepande 17: Mama Luciya 18: chil out 19: Langa na Mangwea 20: Tom boy 21: Baba Malcon na Baba Yao 22: autro
No comments:
Post a Comment