Anaconda mwenyewe akifanya mambo
...ANGALIA PICHA NA SOMA ZAIDI.....
Pichani juu na chini mashabiki wakijimwaya mwaya
Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya ali maarufu kama Profesa Jay nae alikuwepo ndani ya nyumba
Mwanamuziki Lady Jaydee alimaarufu kama Anaconda akikumbatiana katika ukumbi wa Triple A na msanii mkongwe mwenzie wa muziki wa kizazi Profesa Jay
No comments:
Post a Comment