.
.
.Majaji
Huyu
ndio Miss Vyuo vikuu 2013, ni Miss wa chuo cha Ustawi wa Jamii Dar es
salaam anaitwa Severina Emmanuel Lwinga alijishindia milioni moja.
Mshindi wa pili ni Jescar Nassar kutoka IFM Dar es salaam na wa tatu ni Miriam Manyanga kutoka IFM pia.
No comments:
Post a Comment