facebook likes

Saturday, September 21, 2013

BBA The Chase Hot Couple Elikem & Pokello Share New Pictures

Their love is still waxing strong. The couple now called Polikem shared these pictures of themselves rocking matching outfits, right down to their shoes. You like?
Also check out their pictures with our very own Mr Ibu after the cut....

DownLoad Na Sikiliza Joint Mpya Ya Suma Mnazareti Ft Richard - Umechelewa

SIKILIZA NA DOWNLOAD HAPA...

DownLoad Na Sikiliza Joint Mpya Kutoka Kwa T.I.D Ft Kassim Na Mr Blue - Tamu Asali

SIKILIZA NA DOWNLOAD HAPA.....

Meno Ya Ronaldinho Yarekebishwa, Unaweza Kuona Picha Zote Hapa

               Kabla                                                      Sasa
Angeishi maisha yake yote bila kufanya tangazo la dawa za meno ila kwa sasa naamini kampuni nyingi zita mtafuta Ronaldinho baada ya kufanyiwa marekebisho kwenye meno yake. 
SOMA ZAIDI....

Friday, September 20, 2013

Exclusive Kutoka East Africa Radio, Kipindi Cha Tv Cha Maisha Ya Wema Sepetu 'In My Shoes' Kitaonekana Eatv Kuanzia October

Tunayo furaha kumkaribisha malkia wa  na ulimbwende Tanzania Wema Sepetu na reality show yake  itakayoanza Oktoba hii

SOMA ZAIDI...

HATIMAYE WEZI WA MTANDAO WAKAMATWA KATIKA OFISI ZA TIGO BUGURUNI ...CHEKI PICHA ZA TUKIO ZIMA HAPA

mrembo huyu ni mmoja wa watuhumiwa wa kesi hii ya wizi wa mtandao baada ya kutumia kitambulisho chake na kutaka kuja kurudisha line ambaye sio yake kwa kuahidiwa kupewa pesa kidogo kama ujira wake na katika melezo yake akasema hawatambui wahusika wenzake kwani amekutana nao tu sinza na wakampa dili hilo na kuamua kuchukua bajaji ambao iliwaleta mpaka ofisi za tigo buguruni rozana
SOMA ZAIDI.....

PICHA YA HALI YA SASA YA HAKIMU ALIYECHOMWA KISU WAKATI AKITOA HUKUMU HUKO MKOANI SHINYANGA...!!

Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo iliyopo eneo la Nguzo Nane, Kata ya Kambarage Mjini Shinyanga, Satto Nyangoha amejeruhiwa kwa kuchomwa kisu katika shavu lake la kushoto baada ya kutoa hukumu ya kesi ya wizi wa baiskeli. 
SOMA ZAIDI......

OMMY DIMPOZ ATEMBELEA STUDIO ZA SAUTI YA AMERICA (VOICE OF AMERICA "VOA") ASEMA JUMAMOSI WASHINGTON DC WATEGEMEE MAMBO !

MTANGAZAJI MASHUHULI SUNDAY SHOMARI  AKIMWEKA DIMPOZ KITI MOTO.
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI....

PICHA ZA AGNESS MASOGANGE AKIWA URAIANI BAADA YA KUACHIWA HURU KUTOKA MAHABUSU..!!


Picha  hizi  zinatosha  kuthibitisha  kwamba  Agness  Masogange  ambaye  siku  hizi  anajiita  Agness FINEASS yuko  huru  mtaani.....
SOMA ZAIDI....

Uingereza yapunguza muda wa kupata viza

Balozi wa Uingereza nchini, Dianna Melrose
Serikali ya Uingereza kupitia Ubalozi wake nchini, imetangaza huduma mpya ya haraka ya utoaji viza inayoitwa ‘huduma ya upendeleo ya utoaji visa kwa haraka’ ili kuwawezesha Watanzania kupata viza hizo ndani ya siku tano.
SOMA ZAIDI.....

Thursday, September 19, 2013

President Obama Speaks to the Business Roundtable

President delivers remarks to members of the Business Roundtable.



Iran yasisitiza kuwa haina mpango wa kutengeneza silaha za nyuklia

Rais mpya wa Iran Hassan Rowhani amesisitiza kuwa nchi yake kamwe haitakua na mpango wa kutengeneza silaha za nyuklia kama ambavyo imekuwa ikidaiwa na Marekani na nchi za magharibi.

Rais mpya wa Iran Hassan Rowhani
SOMA ZAIDI.........

SHEREHE YA KUSAINI MABALOZI WA HESHIMA NCHINI MAREKANI

Rais Dkt Jakaya Kikwete akiongea machache kuwashukuru Mabalozi wa Heshima kwa kukubali kwao kuitangaza Tanzania nchini Marekani na kusema sio kazi rahisi lakini ana Imani nao na aliwatakia kila la kheri ya kuwa na nia thabiti ya kuitangaza Tanzania nchini Marekani.
SOMA ZAIDI....

HATIMAYE RAY C ANUNUA GARI JIPYA...LITIZAME HAPA

STAA wa Bongo Fleva Rehema Chalamila‘Ray C’ameuanika ‘mkoko’(gari) wake ambao anatembelea kwa sasa aina ya Jaguar ambalo namba zake za usajili hazionekani vizuri ila mwishoni zinasomeka T…CHL,huku akiandika kwenye instragram kuwa… Jaguar don't care...CHL means Chalamila Family..... 
ANGALIA PICHA ZAIDI...

HIVI NDIVYO CLOUD ALIVYO JIBADILISHA NA KUWA MZEE ILI AWEZE KUCHEZA FILM YAKE MPYA DR.MAX

ANGALIA PICHA ZAIDI.....

TANZANIA YAMKATAA BALOZI MPYA WA UJERUMANI

Dar es Salaam. Tanzania imemkataa Balozi mteule wa Ujerumani ambaye alitakiwa kuja kufanya kazi nchini.
SOMA ZAIDI,.....

VIGOGO WA SERIKALI,MBUNGE WATUHUMIWA WIZI WA MAFUTA TPA...


Underwater pipelineBAADA ya siku chache wavuti hii kuripoti juu ya tamko la Waziri Mwakyembe kutaka uongozi wa Mamlaka ya Bandari (TPA) kutaja majina ya wezi wa mafuta toka bomba kuu la serikali, imebainika kuwa  vigogo wa serikali  akiwemo mbunge mmoja wa CCM wanadaiwa kumiliki vituo vya mafuta, kando kando ya Bahari ya Hindi wametajwa kuwa vinara wa hujuma na wizi wa mafuta kwenye bomba kubwa la TPA.




Akizungumza na mwandishi wetu jana kwa sharti la kutotajwa jina lake, mmoja wa wafanyakazi wa kituo cha mafuta kilichoko kandokando ya Bahari ya Hindi alikiri kuwepo kwa hujuma hiyo hasa kwa vituo vya mafuta.
SOMA ZAIDI......

Agness Masogange ameachiwa kutoka kwenye mikono ya polisi huko South Africa.

masogange2
Video model Agness Gerald maarufu kama “Agness Masogange” ambaye ililipotiwa kwamba yeye pamoja na mdogo wake wamekamatwa nchini South Africa wakiwa na mzigo wa dawa za kulevya. 
SOMA ZAIDI...

Van Vicker aingia Tanzania kuigiza bongomovie, Hashimu Kambi aelezea kuhusu movie hiyo

v
Van Vicker muigizaji kutoka Ghana ambaye anafanya vizuri hadi nchini Nigeria ameingia Tanzania jumapili iliyopita na anaondoka leo tarehe 19/9 kurudi kwao Ghana. 
SOMA ZAIDI.....

Angalia video ya model Ally Daxx alivyoshiriki kwenye TV show ya “The Link” huko South Africa.

daxxmodelMwanamitindo wa Tanzania ambaye anafanya kazi South Africa ameshirikishwa kwenye moja ya show maarufu huko bondeni inaitwa The Link. Show hii ina kipengele ambacho kinahusisha models wa kiume, kipengele hicho kinaitwa “Hunk of the week”.Kwenye episode ya 24 ndiyo Ally Daxx amehusika. Unaweza kuangalia hapa.....

Hatimaye BBM application kupatikana kwenye Android na iOS weekend hii

blackberry-messenger-logoBaada ya muda hatimaye BBM itapatika weekend hii kwenye simu za Android na iOS. Upatikana ji wa BBM kwenye platform nyingine ulitangazwa mapema mwaka huu na C.E.O Thorsten. 
SOMA ZAIDI....

NEWZ# BABA AFIKISHWA MAHAKAMANI BAADA YA KUMBAKA MWANAE

MKAZI wa Kijiji cha Njoro wilayani Kiteto mkoani Manyara, Mohamed Ally (42) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi kwa tuhuma za kumbaka mtoto wake wa kufikia.
SOMA ZAIDI.....

LAANA: BABU WA MIAKA 95 AMUOA BABU MWENZIE WA MIAKA 65 HUKO NCHINI MAREKANI..!!

Wanaume wawili wazee ambao ni maaskari wakongwe walioshiriki vita ya pili ya dunia, ijumaa iliyopita (September 13) walifunga ndoa ya jinsia moja (mashoga) baada ya kuwa katika uhusiano kwa miaka 20 kabla ya kufikia uamuzi wa kuoana.
SOMA ZAIDI.....

Wednesday, September 18, 2013

BBA winner Dilish gets brand new car as birthday gift from boyfriend

Dillish Pearl Mathews, the winner of the recently concluded Big Brother Africa The Chase celebrated her birthday yesterday and her family and friends came out to celebrate with her.

Wait a minute, the war between Jay Z & Nas started over a woman?

Well, that is if you believe Nas' former girlfriend and baby mama, Carmen Bryan. She did a question and answer session with her fans on Twitter a few days ago, and spilled everything. She claimed the feud between Jay Z and Nas started after she dated and got pregnant for Jay Z. She said she later lost the pregnancy. The feud between Jay Z and Nas (from 2000/2005) was one of the most followed feuds in hip hop history.

P-Square, Wizkid, Mafikizolo, Fuse ODG nominated for MTV EMA

P-Square got nominated for the 2013 MTV EMA and now another nomination at this year's Soul Train Awards. They nominated alongside Iyanya for the 'Best International Performance' category.

HIVI NDIVYO WASANII SHETTA NA CHEGE WALIVYOKAGULIWA AIRPORT


SOMA ZAIDI...

Uganda Kuwaadhibu Wanajeshi Wake

Siku ya Jumatatu serikali ya Uganda iliwasimamisha wanajeshi 24 wanaohudumu kwenye Misheni ya Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) kwa tuhuma za kuuza chakula na mafuta kilichokusudiwa wanajeshi wa Uganda kwa njia ya magendo.
SOMA ZAIDI....

OMMY DIMPOZ LANDS U.S.A FOR MUSIC SHOWS, TO PERFORM IN LOS ANGELES, WASHINGTON DC AND HOUSTON.

Tanzanian popular singer Ommy Dimpoz landed U.S.A yesterday for music shows. This Saturday Dimpoz will perform in Washington DC, on 28 September in Houston and on 5 October the music star will perform in Los Angeles

TIZAMA VIDEO YA MZUNGU AKIIMBA NYIMBO YA DIAMOND-"MBAGALA"

Nassib Abdul a.k.a Diamond Platnumz aingiwa na imani ya muziki wetu kufika mbali zaidi baada ya nguli huyo kushuhudia video ya Mmarekani aliyetambulika kwa jina la Chris Vickio akiimba wimbo wa “mbagala” wote.
Tazama hapa video hiyo.......

MFALME MSWATI WA SWAZILAND AOWA MKE WA 15: MFALME KATISHA MBAYA:


King Mswati III of Swaziland is to marry his 15th wife.The 45-year old will wed the 18-year old Sindiswa Dlamini, who took part in a beauty pageant. 

Tuesday, September 17, 2013

BONDIA FRANCIS CHEKA AAMUA KURUDI DARASANI KATIKA SHULE YA St. Joseph huko Morogoro

 
Jumatatu ijayo ni siku maalum sana kwa bondia Francis Cheka aliyeitoa kimasomaso Tanzania hivi karibuni baada ya kumtwanga kwa pointi Mmarekani Phill Williams 'The Drill' na kutwaa ubingwa wa WBF uzito wa kati. 
SOMA ZAIDI......

JIONEE BINADAMU WALIO NA MWONEKANO WA TOFAUTI....


Ama kweli ukishangaa ya Musa utaona ya Firauni" Katika hali isiyokuwa ya kwaida huyu ndiye mwanamke aliyefanikiwa kuingiza katika kitabu cha kumbukumbu ya Dunia WORLD RECORD GUINESS BOOK.

SOMA ZAIDI....

ANGALIA PICHA SHEIKH PONDA ALIVYOFIKISHWA MAHAKANI LEO MOROGORO


 Sheikh Ponda Akishuka kwenye basi la Magereza tayari kuingia Mahakamani Kusikiliza kesi yake inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoani Morogoro.
SOMA ZAIDI....

Rais Wa Olympic Thomas Bach Kuanza Kazi Rasmi Leo

 Rais mpya wa kamati ya kimataifa ya Olimpiki IOC, Thomas Bach ataingia katika ofisi yake mpya rasmi leo Jumanne mjini Lausanne, nchini Uswisi ,
SOMA ZAIDI..

LIVERPOOL YASHIKWA NA SWANSEA 2-2, MOSES AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO ANFIELD


Acknowledged: Michu went straight over to Jonjo Shelvey (right) after netting Swansea's second goal
Raha ya mechi bao: Michu akienda kwa Jonjo Shelvey (kulia) kushangilia naye baada ya kuifungia bao la pili Swansea dakika ya 64 ikimenyana na Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana. SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI....

Monday, September 16, 2013

Floyd Mayweather Made At least Sh3.5 Billion From His Saturday Fight

LAS VEGAS, Nev. – Canelo Alvarez proved nothing more than easy money for Floyd Mayweather Jr.

BAADA YA MANENO MANENO KUHUSU LUCCI NA JOKATE, HATIMAYE LUCCI AVALISHA PETE MWANAMKE AMPENDAE

lucci2
Hivi sasa producer wa wimbo wa kaka dada ameamua kumvisha pete mpenzi wake ambaye amekuwa mchumba wake rasmi.Cheki picha hapa na Lucci akiongea alisema, 
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI....

LOWASSA ATOBOA SIRI..BARAZA LA MAWAZIRI LILIMPINGA


WAZIRI Mkuu mstaafu ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, amesema Baraza la Mawaziri, lilimpinga asisafirishe maji kutoka Ziwa Victoria hadi wilayani Kahama, Mkoa wa Shinyanga.
SOMA ZAIDI....

KWELI HUYU MDADA FLAVIAN MATATA ANAJITUMA SANA..MCHEKI AKIWA KWENYE BANGO AKITANGAZA NGUO KATIKA DUKA MAARUFU MAREKANI



SOMA ZAIDI......

MTUNISY NA JACKLINE WOLPER WAJA NA FILAMU MPYA YA JIKE DUME

Waigizaji maarufu Swahiliwood Jackline Wolper na Nice Mohamed(Mtunisy) wanakuja pamoja na filamu ya Jike Dume ambayo wanaishuti kwasasa.
SOMA ZAIDI.....

MR.NICE KATIKA MZOZO MWINGINE!

nice
Nguli wa muziki aina ya ‘Takeu’ Lucas Mkenda ameingia katika mzozo mzito na meneja wake mpya baada ya kutokukubaliana baadhi ya mambo aliyokuwa akishauriwa na lebo hiyo mpya.
SOMA ZAIDI...

KAMA ULIKUWA HUJUI BASI HUYU NDO DEMU WA OMMY DIMPOZ KWA POZI


Mashaallah Mashaallah Omary vishimo umejua kuchagua, mtoto mkali sana miaka yote.. mnaotaka kujua habari zake zaidi mfateni
sweden mtapata habari kamili mimi nimewawekea tu habari katika picha #okbaiii
ANGALIA PICHA ZAIDI....

MBUNGE WA MASWA MAGHARIBI JOHN SHIBUDA ASEMA SIASA SI MATUSI BALI NI KUKOSOANA KWA HOJA

1

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Mbunge wa CHADEMA jimbo la Maswa Magharibi Mh. John Shibuda wakati akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Meatu mjini Meatu, 
SOMA ZAIDI....

RAIS KIKWETE ZIARANI NCHINI MAREKANI NA CANADA


COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...