HII NDO TATOO YA MSANII DIAMOND PLATNUM ALIYEICHORA MIKONONI MWAKE...
Hit maker wa Song ya “Nikifa Kesho”, na “Number One”
Diamond Platnumz anatarajia kuondoka leo nchini kuelekea china ambako
atafanya show huko katika mji wa Guangzhou.
ANGALIA PICHA ZAIDI..........
Msanii huyo kwa sasa
anamuonekano mpya katika mikono yake ambayo inaonesha Kachora tatoo Bado
haijafahamika kwa ni neno gani limeandikwa katika tatoo hiyo na
inamaanisha nini kwake…….
No comments:
Post a Comment