So baada ya picha kusambaa kwenye internet zikimuinyesha Diamond na Wema Sepetu wakiwa pamoja, Diamond amepost hii picha na kuandika “Katika moja ya muvie ambazo naimani itakuwa ni Gumzo,Mfano na Bora toka Tanzania basi ni hii…#Tempations Stay Tunes..Location Somewhere
ANGALIA PICHA ZAIDI......
No comments:
Post a Comment