HAWA NDIYO WASHIRIKI WA NNE WATAKAO IWAKILISHA TANZANIA KATIKA TUSKER PROJECT FAME..!!!
Tusker project fame mashindano yaliyomtaburisha msanii Hemed kwenye anga la muziki, hivi sasa yamefikia hatua ya washiriki kukaa kwenye academy.
SOMA ZAIDI....Matumaini ya watanzania kufanya vizuri kwenye mashindano haya yapo mikononi mwa watu wanne. Watu wenyewe ni Angel, 23 yrs, Hisia, 21 yrs Tanah, 21 yrs na Dubson, 25yrs. Fuatilia Tusker Proect fame na uwape support washiriki hawaWashiriki hawa ni baadhi ya washiriki wengine 25 kutoka nchi mbalimbali za Africa Mashariki
No comments:
Post a Comment